Waziri Mkuu awapongeza Ummy na Makonda

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amempongeza Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, kwa namna ambavyo ameamua kusimama na kupambana na ugonjwa wa Corona, na kumpongeza pia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa jinsi ambavyo alivyoamua kuwazuia watu kutoka mikoani kuja jijini humo ikiwa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS