JPM amteua msaidizi wake kuwa Katibu Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amemteua Profesa Mabula Mchembe, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika masuala ya afya, kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS