Kushoto kwenye picha ni M 2 The P, kulia ni marehemu Albert Mangwea
Rafiki wa karibu wa aliyekuwa mkali wa HipHop na freestyle Bongo Albert Mangwea, M 2 The P amewataja wasanii Country Boy na Jordan kama ndiyo wanafuata nyayo za Ngwea ambaye alifariki Mei 28,2013.