"Kagere si wa majaribio, nimewaambia" - Wakala
Wakala wa mshambuliaji Meddie Kagere wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Rwanda, aitwaye Patrick Gakumba amesema kuwa hivi sasa amepokea ofa kutoka klabu nyingi kuhusu mchezaji wake, ikiwemo klabu ya Levante ya Hispania.