RPC aeleza sababu za kuzuia mkutano wa Mbowe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa jana walizuia mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kwa lengo la kumlinda yeye pamoja na waandishi, kutopata maambukizi ya Virusi vya Corona na kwamba kama alikuwa na jambo la kuliambia Taifa angeenda kulisemea Bungeni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS