Paka, Chui, Simba na Mbwa wakutwa na Corona

Kutoka kushoto ni Tiger, kati Paka na kulia Simba

Katika muendelezo wa matukio ya visa vipya vya maambukizi ya Virusi vya Corona, hali imefikia pabaya hadi hatua ya wanyama kama Paka,Chui, Simba na Mbwa kupata maambukizi ya ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS