Makonda atoa shavu kwa wasanii wa Dar es salaam
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka wanaotangaza kuwa Dar es salaam sio sehemu salama waache mara moja kufanya hivyo huku akiwaomba Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), kuruhusu wasanii wa Dar es salaam kufanya matamasha.

