Hivi ndivyo mazishi ya Mama Rwakatare yalivyokuwa
Tayari mwili wa Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni B, Assemblies of God, Askofu Dkt Getrude Rwakatare, umekwishapumzishwa katika nyumba yake ya milele, katika viunga vya kanisa hilo, jijini Dar es Salaam.