Kauli ya Melo kwa wanaotumia simu 'used'
Mkurugenzi wa JamiiForums na Mtaalam wa Mawasiliano ya Teknolojia, Mexence Melo, amewaomba Watanzania kuepuka kununua simu zilizotumika 'Used' kutoka katika mataifa mbalimbali na hata ndani ya nchi kwa kuwa wanakuwa hawajui historia ya mtumiaji wa hiyo simu.