Cheed afunguka kuhusu kuhamia Konde Gang Msanii Cheed Mmoja wa wasanii ambaye ametoka Kings Music Records Official Cheed, amefunguka suala ambalo linazungumziwa kwa sasa kuhusu kuhamia lebo ya Konde Gang, ambayo ipo chini ya msanii Harmonize. Read more about Cheed afunguka kuhusu kuhamia Konde Gang