Yanga wadai Simba imekwama, Simba yaibeza La Liga
Kupitia kipindi cha Kipenga Xtra, mashabiki wa Yanga na Simba wametambiana huku kila upande ukibeza uwekezaji wa upande mwingine, ambapo Yanga wanasema Simba imekwama na Simba wanabeza ushirikiano wa Yanga na La Liga.