Fahamu uteuzi aliofanya Rais Magufuli

Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Dkt Willy Lazaro Mbunju Komba, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kuanzia leo Mei 8, 2020.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS