Marioo aweka wazi kuhusu kusaini Konde Gang Marioo na Harmonize Msanii wa Bongofleva Marioo, amesema ni ngumu kwake kwasasa kusema atasaini Konde Gang au hawezi kusaini ila tayari ameshafanya kazi na Harmonize. Read more about Marioo aweka wazi kuhusu kusaini Konde Gang