Lissu ashindwa kuhudhuria mahakamani, ijue sababu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Kesi ya uchochezi inayomkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo Julai 30, 2020, imeahirishwa hadi Agosti 26, baada ya mtuhumiwa kushindwa kufika mahakamani. Read more about Lissu ashindwa kuhudhuria mahakamani, ijue sababu