Manispaa ya Ilala yaongoza kwa mapato bil 57
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Seleman Jafo amesema Manispaa ya Ilala imeongoza nchi nzima kwa ukusanyaji wa mapato Gafi kutoka bulioni 44 Hadi kufikia ziaid ya bilioni 57.

