Tetemeko la Ardhi laikumba Urusi Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 katika kipimo cha Richter limeripotiwa mapema Jumatano katika pwani ya mashariki mwa Urusi na hivyo kuchochea tahadhari ya tsunami huko Japan, Alaska, Peru na Hawaii. Read more about Tetemeko la Ardhi laikumba Urusi