WANANCHI WAMKUMBUKA MWALIMU NYERERE KWA UZALENDO
Kila ifikapo Oktoba 14, ya kila mwaka Watanzania wanasherehekea maadhimisho ya kumbukizi ya aliyekuwa mkombozi wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambapo baadhi ya wananchi Mkoa wa Dar es Salaam wanaelezea namna uzalendo wa baba wa Taifa ulivyowapa uhuru wa kufanya shug