Kila mbunifu anataka kumvalisha Rais Samia-Khadija
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu na Khadija Mwanamboka kushoto
Mbunifu wa Mavazi Khadija Mwanamboka amesema kila mbunifu wa Tanzania ana ndoto ya kutaka kumvalisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.