Liverpool wana 59.3% kuwa mabingwa EPL
Klabu ya Liverpool imepewa asilimia 59.3% kuwa mabingwa wa Ligi kuu soka nchini Uingereza EPL baada ya kushinda michezo 9 kati ya 11 iliyochezwa mpaka sasa. Majogoo ndio vinara wa Ligi wanaongoza kwa tofauti ya alama 5 dhidi ya mabingwa watetezi Manchester City.