Abdihamid Moalin kuibukia Yanga SC?
Kocha aliyeondoka kikosi cha mpira wa miguu kinachomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa Wilaya ya Kindoni Abdihamid Moalin kwa mujibu wa taarifa zisizo rasmi inasemekana akaibukia kwenye timu ya Yanga SC yenye makao yake makuu mtaa wa Twiga na Jangwani Karikaoo Dar es salaam.