Tuesday , 13th Jan , 2026

Álvaro Arbeloa ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu mpya wa Real Madrid, akichukua nafasi ya Xabi Alonso aliyeondoka klabuni hapo leo kwa makubaliano ya pande mbili.