
Saturday , 10th May , 2025
Aliyewahi kuwa msanii wa label ya Konde Gang Cheed akitoa uelewa wake kuhusu mikataba ya baadhi ya labels za muziki Nchini Tanzania, Cheed ameeleza hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Planet Bongo ya East Africa Radio
