
Ruben Amorim - Kocha wa Manchester United
Manchester inayoshika nafasi ya 14 katika ligi hiyo ya Uingereza wataendelea kumkosa mlinzi wao Harry Maguire na Amad Diallo ambao wanaendelea kuuguza Majeraha
“kucheza Ligi ya Europa kunaathiri muundo wa Ligi Kuu kuliko Ligi ya Mabingwa, Europa ni ngumu zaidi kuliko Ligi ya Mabingwa ndiyo maana watu wamekuwa wakiona United inabadilika kila tunapotoka kucheza michuano ya Ulaya”
Ikumbukwe Arsenal ilishinda 7-1 dhidid ya PSV Eindhoven katika mechi ya mkondo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumanne, huku United ikitoka sare ya 1-1 ugenini Real Sociedad siku ya Alhamis.