
Ruben Amorim - Kocha mkuu wa Manchester United
Arteta alichukua nafasi ya Unai Emery katika kikosi cha Arsenal Disemba 2019 akiibalisha timu hiyo na kuwa timu shindani nchini England akishinda Kombe la FA 2020 katika msimu wake wa kwanza na likisalia kuwa kombe pekee kulibeba ndani ya klabu hiyo.
"Ninahisi kwamba Arsenal ni klabu tofauti kwa namna ilivyompokea na kumvumilia hadi sasa ni miongoni mwa timu tishio hapa nchini na Ulaya, yaani unaona anaungwa mkono na wadau wote” Amorim