
Andrea Kimi Antonelli
Mtaliano huyo mwenye umri wa miaka 18 anaamini kuwa Mercedes walimchagua Akucheza mashindano yake ya kwanza msimu huu baada ya bingwa mara saba Lewis Hmilton kuhamia Ferrari .
"Ninashukuru sana kwa imani na nafasi niliyopewa na Mercedes nafahamu ni timu kubwa pia bila shaka wana matarajio makubwa na mimi hivyo nitajaribu kufanya vizuri zaidi nisiwaangushe." Antonelli
Antonelli alijiunga na timu ya vijana ya Mercedes akiwa na umri wa miaka 11 na akapandishwa hadi F1 baada ya msimu mmoja tu katika F2.