Thursday , 20th Feb , 2025

Muigizaji wa 'NSYUKA' Mohammed anasema yeye ndio muhusika mkuu wa movie hiyo na sio mwanamuziki @mrishompoto kama ambavyo mashabiki wengi wanavyodhani.

Picha muigizaji wa NSYUKA Mohammed

"Nimeshasikia NSYUKA wanasema ni Mrisho Mpoto kama una simu kubwa Google movie ya NSYUKA na angalia majina yanayopita pale kama kuna Mrisho Mpoto nakupa Milioni 1, mimi nafanana na yeye au yeye ndio anafanana na mimi".

"Na Nani alianza kuwa maarufu kati yangu na yeye? Maana ilianza kutoka NSYUKA baadae ndio akaja kutoka na kutrend kupitia muziki wake" - amesema NSYUKA