Kupitia mitandao ya kijamii Kamala amemtaka Trump kufikiria tena kukutana naye jukwaani huku akisisitiza kuwa kama Trump ana kitu cha kusema basi ni wakati sahihi wa kukisema mbele ya uso wake
Donald Trump alishiriki mdahalo wa kwanza wa wazi dhidi ya aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo Rais Joe Biden ambapo ilionekana wazi Trump kushinda kwa hoja