Mkufunzi Graham Potter
Potter mwenye umr wa miaka 49 amesema kwa sasa nipo kwenye mazingira mazuri na nina furaha ya kurejea kufanya kazi ya ukocha na nipo tayari kwa ajili ya changamoto mpya pindi nikipata timu kwa sasa.
Mkufunzi Graham Potter aliyefukuzwa kazi ndani ya Chelsea mnamo Aprili 2023 amekuwa nje ya ukufunzi wa ukocha huku anahusishwa kuifundisha England sambamba na kocha wa Newcastle United Eddie Howe na kocha wa England chini ya Umri 21 Lee Carsley