Saturday , 3rd Feb , 2024

Comment ya Mkongwe wa Muziki Bongo Producer Masterjtz juu ya wasanii kufika level ya International 

Picha ya Master J

“Tukitaka kwenda International lazima uwe na Identity yako. Huwezi kuona Davido, Asake au msanii wa South Africa wanafanya sound ya BongoFleva”

“Kwa hapa East Africa wasanii wetu ni bora na wanatengeneza pesa lakini hawatafika soko la kimataifa”.

 

Zaidi tazama hapo chini kwenye video.