Picha ya Harmonize na Poshy Queen
Pitia page ya Instagram ya Poshy Queen amepost picha ya Harmonize na kuandika “Adam wangu mimi hapa”.
Harmonize akacomment kwenye post hiyo akiandika “Sio tu damu hata figo nakutolea Eva, 2027 now we here. What a history to tell Nova & Zuuh Kond they must be patient”.
Wawili hao inasemekana kwa sasa wapo kwenye penzi zito baada ya kuonekana wakiwa pamoja kwenye mitoko yao sehemu tofauti tofauti.