Rais Samia
Aidha Rais Samia pia amemteua Dkt Athuman Kihamiakuwa Mtendaji Mkuu wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) na amechukua nafasi ya Edwin Mhede ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.
Rais Samia amemteua Musa Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) ambapo awali alikuwa akikaimu nafasi hiyo.