Wednesday , 13th Dec , 2023

Baada ya interview nyingi alizofanya Jada Pinkett akimtaja Tupac Shakur kuwa mtu wa muhimu maishani mwake hatimaye Rick Ross amepiga story na BET na kumshauri Jada kutomtaja sana marehemu Tupac kwenye mazungumzo yake.

Kulia picha ya Rick Ross upande wa kushoto ni Jada Pinkett na Tupac Shakur

Rick Ross amemwambia Jada Pinkett kuwa amuache Tupac Shakur apumzike kwa sababu tayari ameshafariki Dunia.

 

Jada Pinkett ali-trend mitandaoni kupitia interview zake alizofanya akimtaja Tupac Shakur kwamba aliwahi kuwa 'Soulmate' wake na alitaka kuolewa naye.