Sunday , 22nd Oct , 2023

Mwanamuziki Marioo "Toto Bad" amejibu kuwa yupo tayari kutoa mahari ya Tsh Milioni 100 kwa mpenzi wake Paulah ambaye ni binti wa staa wa filamu Kajala na Producer mkongwe wa muziki nchini P Funk Majani.

Picha ya Marioo na Paulah

Marioo amejibu hivyo kupitia clip video hii aliyofanya Interview kupitia East Africa TV  na video kamili bonyeza hapo chini kutazama.