Thursday , 12th Oct , 2023

Kupitia ngoma ya Fear kutoka kwenye Album ya 'For The All Dogs' ya Drizzy Drake amechana kuwa hakulia wakati rapa Tupac Shakur anafariki dunia ila atafanya hivyo kwa "HOV" Jay Z.

Picha ya Jay Z kulia na Drake kushoto

Line hiyo ya Drake inasema "Usichukulie hii kwa nia mbaya lakini sikuwahi kulia Pac alipofariki lakini nitafanya hivyo wakati wa HOV".

Msanii gani wa Bongo anaweza akasababisha kukutoa machozi.?