Friday , 1st Sep , 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemvua hadhi ya Ubalozi Dkt Wilbroad Slaa kuanzia leo Septemba Mosi, 2023. 

Dkt Wilbroad Slaa

Taarifa hiyo imetolewa hii leo ambapo Dkt Slaa aliteuliwa kuwa Balozi Novemba 23, 2017 na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt John Pombe Magufuli.