Thursday , 13th Oct , 2022

Mtoto wa staa wa muziki nchini Tanzania na Africa Diamondplatnumz na Zari The Bosslady Princess Tiffah amembananisha baba yake kuhusu kuwa na mwanamke na mtoto mwingine.

Picha ya Diamond akiwa na familia yake Zari, Tiffah na Nillan.

Diamond ameshea video clip ya Tiffah akimuuliza swali hilo kwenye page yake ya Instagram akiwa na mzazi mwenziye Zari na wao mwingine Nillan.

Zaidi tazama hapa Tiffah akimuuliza swali hilo Diamond.