Mr II Sugu na mke wake Happiness Mbilinyi
"Ni kweli money can't buy love but mkwanja kiasi ukiwepo unaleta raha kwenye mapenzi. Dogo langu @fred_vunjabei atakubaliana na mimi" - Mr II Sugu
Ikumbukwe hata Barakah The Prince alishaimba kwamba mapenzi sio pesa ila pesa ikikosekana mapenzi yanapungua.