Mamlaka nchini Angola zimeeleza kuwa Kiongozi huyo alikuwa akitibiwa hospitali moja katika jiji la Barcelona nchini Uhispania
Bado haijaelezwa kwa undani kuhusu ugonjwa uliokuwa unamsumbua kiongozi huyo
Rais wa zamani wa Angola José Eduardo dos Santos, amefariki akiwa na umri wa miaka 79.