Sunday , 5th Jun , 2022

Ni vibe la Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam Mh Jokate Mwegelo akicheza mziki wa singeli kwenye maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani na uzinduzi wa Afya Check Wilaya ya Temeke.

Picha ya DC Jokate Mwegelo akicheza na singeli na wananchi wa Temeke

Zaidi tazama tukio hilo hapa chini kwenye video.