Tuesday , 31st May , 2022

Baby wa Mama msanii Whozu Cappuccino Tunda ameshea 'Experience' yake kuhusu tukio la kushikiwa bastola na kupigwa kwenye mahusiano aliyokuwepo zamani baada ya tukio la Swalha kupigwa risasi na mume wake jijini Mwanza.

Picha ya Cappuccino Tunda

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia tukio hilo.