Monday , 25th Apr , 2022

Msanii wa filamu Steve Nyerere amejibu kuhusu madai ya mzazi mwenziye Wellu Sengo kusema hatimizi majukumu yake kama baba kwa mtoto wao.

Steve Nyerere na mzazi mwenziye Wellu Sengo (Matilda)

Steve Nyerere anasema hayo ni mambo ya familia yake watu waachane nayo.

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.