
Kyle ana mpango wa kuzunguka ulimwenguni kuchangia mbegu.
Kylie ameingia barani Ulaya kufanya tour kwa ajili ya kujitolea kuchangia mbegu bila gharama yoyote kwa ajili ya watu wenye uhitaji.
Kyle mpaka sasa ni baba wa watoto 46, na kuna wanawake tisa wenye ujauzito ambao amewasaidia kupata mimba kwa kuchangia mbegu zake.