
Picha ya Haji Manara na mke wake wa pili Rubynah Bint Salum
"Ikitokea nafasi nyingine kwa mujibu wa dini yangu na kama nitakuwa na uwezo wa kuwahudumia kibaiolojia na kifedha nitaongeza mke mwingine kwa sababu dini inaniruhusu" amesema Haji Manara
Zaidi tazama hapa kwenye video.