
Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa kamishna msaidizi wa Polisi, Allan Bukumbi amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa baada ya msako mkali uliofanywa na jeshi hilo katika kudhibiti matukio ya kihalifu.
Katika hatua nyingine Jeshi la Polisi mkoani humo linatarajia kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kukutwa na vipande vinne vya meno ya Tembo