Thursday , 14th Apr , 2022

Msanii Banana Zorro ametoa taarifa ya kinachondelea kwenye msiba wa dada yake Maunda Zorro kwa kueleza kwamba kwa sasa msiba upo Maweni Kigamboni kwa Mzee Zorro na taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa baadaye.

Picha ya aliyekuwa msanii Maunda Zorro

Taarifa ya Maunda Zorro kufariki dunia zimetoka usiku wa kuamkia leo huku chanzo cha kifo chake ni ajali ya gari iliyotokea Kigamboni Dar es Salaam.