Wednesday , 8th Sep , 2021

Baada ya Vanessa Mdee (Vee Money) na na mpenzi wake Rotimi kuthibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za hivi karibuni, mchumba wake huyo ameweka wazi jinsia ya mtoto wao.

Picha ya Pamoja Msanii Vee Money na Rotimi

Rotimi amefunguka kuwa wawili hao wanatarajia kupata mtoto wa kiume ambapo kupitia ukurasa wake wa intagram ameandika “You belong in a museum baby, Buttascotch prince on the way”.