Tuesday , 3rd Aug , 2021

Director Kenny amekanusha uvumi wa taarifa za kutemwa na msanii Diamond Platnumz baada ya kuonekana kubadilisha mwongozaji wa video yake mpya “Iyo” iliyofanyika na Hanscana.

Picha ya pamoja msanii Diamond Platnumz na Director Kenny

Mwongozaji wa video huyo amesema alikuwa amesafiri kwenda nchini Zimbabwe kikazi na ndio maana hakufanya video ya “Iyo” waliyoshiriki Focalistic, Mapara A Jazz na Ntosh Gazi kutoka Afrika Kusini bado yupo Zoom Extra.

Msikilize zaidi akifunguka hapa