Monday , 2nd Aug , 2021

Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji 184, wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya akiwemo Spora Liana ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Tanga na Jumanne Shauri kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Ilala.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Taaarifa ya uteuzi huo imetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.

Tazama hapa chini Wakurugenzi walioteuliwa