Picha ya Msanii MB Dogg
MB Dogg amefunguka kuwa kuna ukiukwaji wa Sheria za Hakimiliki hali inayosababisha wasanii wengi wakongwe kupitia wakati mgumu kwa kutonufaika na kazi zao, huku akiiomba Serikali kuingilia kati jambo hilo.
“Sheria za ukiukwaji wa HAKIMILIKI zipo na zifuatwe ili iwe fundisho kwa wadau na wasanii, pia kuwa makini na majina yao kutumika vibaya”