
Kipande cha Mkate
Kampuni hiyo ambayo inazalisha mikate ya Supa Loaf, licha ya kumuomba msamaha mteja wake huyo aliyedai kuwa ni mtumiaji wa mkate wa muda mrefu lakini bado haijabainisha itamfidia nini na kwa kiasi gani.
Kupitia ukurasa wa twitter wa Supa Loaf wamendika hivi, "Habari Kellyinyani tumeiona tweet yako, tunaomba radhi pia tunaomba utuandikie anwani ya makazi yako na mawasiliano yako kupitia DM ili tuweze kukulipa fidia".